Design Google Search Logo Animation kwa kutumia Adobe After Effects Home Page https://www.skillshare.com/classes/Design-Google-Search-Logo-Animation-kwa-kutumia-Adobe-After-Effects/1208020612
Genre / Category:
After Effects TutorialsFile Size :153MB
Product Details Katika Kozi hii fupi utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya ku Design Google Search Logo Animation kwa kutumia ya Adobe After Effects. Utajifunza vitu vifuatavyo
- Ku design elements ndani ya photoshop
- Ku animates elements zote ndani ya Adobe After effects
- Kuweka sound effects ili kuipa uhai Animation yetu
Kumbuka ili uweze kujifunza nami inakubidi kwanza uwe na uelewa wa kutosha wa kutumia programu za Adobe Photoshop na Adobe After effects